Forest wanaingia kwenye mchezo wa leo wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuifunga Chelsea 1-0 wakitoka kufungwa na United 3-2 watatazamia leo kuendeleza ushindi kwenye dimba lao la nyumbani dhidi ya Burnley.
Burnley wanaingia na kumbukumbu mbaya ya kutandikwa 5-2 nyumbani na Spurs ikiwa ni kipigo kingine kikubwa kukipata msimu huu tangu wapande daraja. Vicent Kompany na vijana wake watatizamia mchezo huu kurejea kwenye njia.
MECHI 5 ZILIZOPITA
Forest wameshinda Mechi 2, wakifungwa # bila sare hata 1 huku Burnley wakishinda mchezo mmoja tu nna kufungwa 4 kwenye michuano yote.
Mchezo wa mwisho kukutana, Burnley walishinda 1-0 kwenye Carabao Cup.
TIP: Forest 2-1 Burnley. Unaweza pia ukaweka BTTS au over 2.5
GRANADA V GIRONA
Timu zote mbili hazipo kwenye nafasi nzuri sana kwenye msimamo lakini Girona wananingia na rekodi nzuri ya kushinda mchezo wao mwisho dhidi ya Las Palmas kwa 1-0 huku Granada wakikumbana na dhahma kutoka kwa Real Sociedad, 5-3.
MECHI 5 ZA MWISHO
Granada wametoka kushinda mchezo mmoja pekee kati ya 5 ya hivi karibuni wakifungwa mechi 4. Wapinzani wao wakiwa kinyume chao kwani wamerekodi ushindi mara 4 na kufungwa 1 pekee.
TIP: Tarajia magoli 2 na kuendelea kwani Girona wana uhakika wa kufunga bao zaidi ya 1 kwa rekodi ya hivi karibuni. Ipe ushindi wa 2-1 Girona.
VERONA V BOLOGNA
Verona alipoteza dhidi ya Sassuolo 3-1 lakini ushindi wake dhidi ya AS Roma inafanya isiwe timu ya kutabirika sana na ndio maana haishangazi kuwaona kwenye 10 bora kwenye msimamo Serie A, wakiwa juu ya wapinzani wao Bologna ambao wao walitoka kushinda 2-1 dhidi ya Cagliari.
MECHI 5 ZA MWISHO
Verona kapoteza michezo miwili na akishinda 3 kati mya 5. Bologna wameshinda 2, kupoteza 2 na kutoa Sare 1.
TIP: Mchezo mgumu lakini hautokosa magoli. Wakicheza mtu wa nafasi ya 8-Verona na wa 10-Bologna. Weka sare ya 2-2 au Magoli Over 1.5
WEKA DAU ZURI ILA TU USIWEKE NYUMBA. GAMES ARE TIGHT.