Connect with us

African Football League

KANUNI YA GOLI LA UGENINI INATUMIKA AFL.

Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football League zinasema klabu itanufaika na goli la ugenini.

Kanuni za mashindano ya African Football League zinaelekeza kuwa bao la ugenini litatumika kuamua timu itakayo songa hatua inayofuata ya michuano hiyo, kama ambavyo inatumika kwenye michuano mingine iliyo chini ya CAF kwa maana ya CAF Champions League, na CAF Confederation Cup.

Kama magoli yatalingana basi hakutakuwa na muda wa ziada (extra time), moja kwa moja itafuata mikwaju ya penati kuamua mshindi wa jumla wa mchezo.

Makala Nyingine

More in African Football League