Connect with us

Betting Tips

MKEKA POINT

Tottenham Hostpur ina wastani mzuri wa kufunga goli moja(1) au zaidi kuliko mpinzani katika michezo 6 waliocheza mfululizo. Muunganiko wa James Maddison Heu Ming Son umechangia asilimia 60(60%) ya magoli yote ya Spurs kutokana na ubora wao wa kushambulia. Spurs wamekuwa kwenye kiwango bora sana hivi karibuni.

Mapungufu ya Crystal Palace yapo hasa kwenye safu ya ulinzi ikiruhusu sana magoli. Kocha Roy Hodgson bado anaeendela kutafuta tiba ya tatizo hilo, lakini timu yake inakutana na Tottenham yenye makali sana kwenye ushambulizi. Sioni Crystal palace wakimaliza hii mechi bila ya kuruhusu bao.

TIP: TOTTENHAM USHINDI AU MAGOLI ZAIDI YA 2.5

Girona ina uwezo mkubwa wa kufunga mabao ikiwa na wastani wa kufunga magoli zaidi ya 2 kwenye uwanja wake wa nyumbani. Mara ya mwisho kufungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani ilikuwa dhidi ya Real Madrid. Girona sio wanyonge wakiwa nyumbani.

Celta Vigo ni moja kati ya timu yenye rekodi nzuri ya kuwaharibia vigogo mipango yao, lakini hutamba zaidi wakiwa nyumbani kwao sio ugenini. Celta pia ni moja ya timu zenye changamoto kubwa kwenye safu yao ya ulinzi kwenye msimu huu wa La Liga. Lakini sio kwamba na wa hawafungi(GG). Mbaya zaidi wanakutana na timu ambayo inazidiwa na Real Madrid, Barcelona Na Atletico Madrid kwenye timu zilizofunga mabao mengi msimu huu.

TIP : MAGOLI ZAIDI YA 2.5, WOTE KUFUNGANA(BOTH TEAMS TO SCORE)

Bochum na Mainz wote wamecheza mechi 5 za mwisho bila kupata ushindi wowote, wakifungwa mechi 4 na wote kutoa sare 1.

Bochum ameruhusu bao kwenye michezo  4 kati ya 5 huku Mainz akiruhusu kwenye michezo 3 kati ya 5.

Kwenye mechi tano(5) za mwisho, zaidi ya mechi 4 wote wawili mechi zao zimekuwa na zaidi ya magoli mawili(2). Bochum amefunga mabao matatu(3) na kuruhusu mabao 15 katika mechi 5 za mwisho huku Mainz kafunga magoli matano(5) tu na kuruhusu magoli 13. Tutegemee Magoli mengi sana kwenye mchezo huu.

TIP : SARE AU MAGOLI ZAIDI YA 2.5 NA WOTE KUFUNGANA

Makala Nyingine

More in Betting Tips