Connect with us

International Football

NANI KUTWAA BALLON D’OR USIKU WA LEO?

Leo ni usiku wa tuzo kubwa kabisa za soka Duniani, BALLON D’OR ambazo sherehe zake mwaka huu zinatarajiwa kufanyika Jijini Paris, Ufaransa kuanzia majira ya saa 3 (21:00) Usiku kwa saa za Tanzania.

Kwenye tuzo hizi, wanaotajwa kwa ukaribu kubeba ni Lionel Messi upande wa wanaume wakati Aitana Bonmati akitajwa sana upande wa wanawake. Lakini pia Erling Haaland hajaachwa nyuma.

Tusubiri kuona, Je Ni Mshindi wa Kombe la Dunia Lionel Messi au Mshindi wa Makombe Matatu kwenye msimu mmoja Erling Haaland akiwa na Manchester City?

Makala Nyingine

More in International Football