Licha ya kwamba Cartagena ndio Vibonde wa Segunda, wakiwa na pointi 6 tu kwenye michezo 14 waliokwishacheza wakiburuta mkia, lakini sio timu niliyoruhusu zaidi ya goli 3 hivi karibuni, huku wapinzani wao leo Oviedo wakifunga goli 4 tu kwenye mechi 4 za hivi karibuni.
Sare ya 0-0 dhidi ya Zaragoza ugenini ni kama iliharibu mipango ya Oviedo na unatarajia kuwa mchezo wa leo watauchukulia kwa ukubwa ili kupata alama za kuwasogeza kutoka nafasi ay 14 hadi ya 12 kwenye msimamo. Ushindi kwao ni lazima leo.
TIP : USHINDI OVIEDO/ MAGOLI CHINI YA 3.5
Wote wawili wametoka kupokea vichapo kweye michezo yao ya mwisho huku Chatearoux akipigwa 3-0 nyumbani kwake na Roune na Le Mans akichabangwa 2-1 na Avranches.
Wote hawana muendelezo mzuri sana wa matokeo lakini kwenye kupata magoli kwenye michezo yao 5 ya mwisho sio haba. Wanaweza Kufungana hawa leo bila shaka. Lakini suala la nani anashinda, kitendawili.
TIP : WOTE KUFUNGANA NDIO(YES BTTS)/ ZAIDI YA MAGOLI 1.5
UTA Arad wako nyumbani kuwakabili Otelul Galati wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi wa 2-1 nyumbani dhidi ya Dinamo Bucuresti kwenye mchezo wao wa mwisho, lakini wanakutana na mpinzani mgumu ambaye naye maetoka kutoa sare ya 1-1 ugenini kwa Politehnica Lasi.
Wote wawili hawana idadi kubwa sana ya magoli ya kufunga hivyo ni mchezo ambao hatuutizamii kuwa na magoli zaidi ya 2.5, japo kufungana inawezekana(BTTS). Kwenye michezo yao mitano iliyopita ni mechi 2 tu kati yao hazijawa na BTTS.
TIP : SARE/ MAGOLI CHINI YA 3.5/ YES BTTS(KUFUNGANA)