ES Setif wametoka kupata matokeo ya 1-0 dhidi ya Kabylie lakini si habari ya kuitisha USMA kwani na wao wametoka kuwatandika wababe CR Belouizdad 2-1. Wote wameshinda mechi zao 2 za mwisho lakini pia wamepoteza 2 kati ya mechi 5 za hivi karibuni. Wanafungwa na Kushinda.
Mechi 4 za USMA zimeisha bila GG, huku 2 zimeisha bila GG kwa upande wa Setif. Magoli ya kufunga ni mechi kwa timu zote mbili, hakuna aliyefikiksha goli 10 kwenye michezo 5 ya mwisho. Pakiwa na wastani wa goli 1.5 tu.
DONDOO : MAGOLI CHINI YA 3.5
Pamoja na kutokuwa na matokeo mazuri, lakini hauoni namna Zaragoza anafungwa na Atzeneta leo. Zaragoza hajashinda hata mechi 1 kwenye mechi zake 5 za mwisho, akifunga mabao 5 na kuruhusu 8 huku ni mechi 2 tu ndio zimeisha zikiwa na magoli 2.5 na zaidi kwenye mechi zake hizo 5.
Mambo yasiwe mengi, Atzeneta hatonoi kwa Zaaragoza leo.
DONDOO : ZARAGOZA USHINDI
DERBY COUNTY V CREWE ALEXANDRIA
Derby County wameshinda mechi zao 3 na kfungwa 1 huku waipata sare 1 tu kwenye mechi zao 5 za mwisho. Ni matokeo kama hayo yapo kwa upande wa Crewe. Kitaumana.
Wote wametoka kushinda mechi zao za mwisho, Derby akishinda 3-0 dhidi ya Barnsley na Crewe akiinyuka Notts County 1-0.
Derby kwenye mechi zake 5 za mwisho amefunga mabao 14 na hakuna mechi yake hata moja iliyoisha chini ya magoli 2.5. Crewe wamefunga mabao 8 na kuruhusu 6 kwenye michezo yao 5 ya mwisho. Utajiri wa magoli leo.