Connect with us

Betting Tips

MKEKA POINT

England wanaingia kibabe mbele ya Malta, kiuhalisia sio hadhi yao. England wameshinda michezo ya mi4 ya mwisho kati ya 5 ikiwemo ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Italia kwenye mchezo wa mwisho.

Malta kwa upande wao wameshinda mchezo 1 tu kwenye mi 5 ya mwisho na wametoka kunyukwa 3-1 na Ukraine kwenye mchezo wao wa mwisho, ikiwa ndio mechi pekee kati ya hizo wametoka na goli yani GG. Huku michezo mingine yote wakitandikwa bila goli.

Kwa ushambuliaji wa England hivi sasa, Harry Kane, Bukayo Saka, Marcus Rashford, Jude Bellingham na wengine, tunatarajia kamba nyingi sana leo.

DONDOO : ENGLAND USHINDI NA MAGOLI ZAIDI YA 2.5

Huko Segundani siku zote ni heka heka halafu kutabiri hasa nani anapata matokeo ni kipengele kigumu sana. Kinapigwa hasa na mechi chache sana humalizikaga na magoli mengi.

Valladolid na Leganes ni moja kati ya mechi hizo. Valladolid kashinda mechi zake 4 kati ya 5 hivi karibuni huku Leganes akishinda zote 5. Leganes akionekana mgumu kufungika akiruhusu bao 1 tu kwenye mechi 5 huku akifunga mabao 9. Tofauti na Valladolid ambao wameruhusu magoli 8 licha ya kufunga magoli 13, yani 4 zaidi ya Leganes.

Ila hizi takwimu zisikudanganye magoli leo hayatokuwa mengi kwa hawa jamaa japo GG inawezekana.

DONDOO : TIMU ZOTE KUFUNGANA AU MAGOLI CHINI YA 3.5

GHANA V MADAGASCAR

Kuna namna Madagascar kaamua tu kuwa nunda hivi karibuni halafu grafu ya ubora ya Ghana muda huo inazidi kushuka. Ghana haitishi tena kama zamani kwahiyo inakupa picha tunatarajia mechi ya aina gani na hili ni soka la Afrika.

Ila yote hayo hayaondoi uhalisia kuwa Ghana ni miongoni mwa mataifa yaliyofanya vizuri zaidi kwenye kushhiriki kombe la Dunia mara nyingi zaidi. Wanajua safari ni hatua na hatua inaanza leo kwa Madagascar, japo wanajua haitokuwa rahisi.

Jana Nigeria alituweka Eda wengi, je vipi tumuamini mwanetu Ghana leo? Ah wapi twendeni na Magoli tu. Soka letu tunalijua wenyewe.

DONDOO : CHINI YA MAGOLI 3.5

Makala Nyingine

More in Betting Tips