Connect with us

Betting Tips

MKEKA WAKO

Atalanta wameshinda mechi 2 tu kati ya mechi 5 za hivi karibuni na wametoka kufungwa 2-1 kwenye mchezo wao wa mwisho dhidi ya Napoli. Hawajawa na muendelezo mzuri sana huku mechi zao nyingi zikiisha kwa tofauti ya goli zaidi ya 2.5 au kuisha kwa kufungana.

Sporting CP wana alama 7 kwenye msimamo na wamepitwa alama 3 tu na Atalanta. Bila shaka ni mchezo ambao watautolea macho ikiwa kama wanataka kufuzu hatua inayofuata. Wana fomu nzuri ya matokeo ya kushinda mechi 4 kati ya 5 za hivi karibuni na wastani mzuri wa magoli.

DONDOO : TIMU ZOTE KUFUNGANA(BTTS YES)

Brighton hawajawa na wakati mzuri hivi karibuni huku mechi zao nyingi zikisha wap kuruhusu goli. Wakiwa na alama zao 7 wanakutana na AEK Athens wenye alama 4 utofauti wa alama 3 tu kati yao.

Sio rahisi sana kuitabiria Brighton kwa sasa lakini hakuna namna atakubali kufungwa na AEK leo kwakuwa itwapotezea malengo yao huku ikikumbukwa mchezo wao wa mwisho kundi hili waliifunga Ajax 2-0.

DONDOO : BRIGHTON USHINDI

Marseille ni wamba wa kundi hili licha ya kutoka sare ya 1-1 na Strasbourg kwenye mchezo wa mwisho wa ligi lakini AEK walikiona cha mtema kuni.

Ajax walipigwa 2-0 na Brighton na hata wao msimu huu unekuwa na panda shuka sana.

DONDOO : MAGOLI ZAIDI YA 2.5

Liverpool wanakutana na Lask Linz leo wakiwa vinara wa kundi huku wakitoka kucheza mechi nzuri dhidi ya Man City ikiisha 1-1.

LASK wana alama 3 tu kwenye kundi na hawana muendelezo mzuri kwenye kundi hili wanakutana na Liverpool wenye alama 9 na wanatafuta alama 3 hili wajihakikishie kufuzu hatua inayifuata. Ila itakumbukwa wametoka kupigwa 3-2 na Toulouse.

DONDOO : LIVERPOOL USHINDI

Unai Emery na vijana wake wanaendelea kufanya makubwa msimu huu huku kwenye michezo yao 5 ya mwisho wakishinda mechi 4, mechi 4 zikiisha na zaidi ya magoli 2.5 na zikiwa na BTTS mechi 4 pia.

Lergia Warsaw hawako mbali sana na ukweli pia lakini wanajua mchezo huu sio mwepesi japo wanahitaji sana ushindi. Mechi zao 5 za mwisho hawajapoteza hata mechi 1 lakini huoni nafasi yao mbele ya Aston Villa leo.

DONDOO : ASTON VILLA USHINDI

Makala Nyingine

More in Betting Tips