Connect with us

NBC Premier League

IHEFU YAMFUTA KAZI KOCHA BASENA.

Klabu ya Ihefu inayo shiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Moses Basena baada kutokupata matokeo mazuri tangu ajiunge na kikosi hicho.

Huyu anakuwa kocha wa pili kufutwa kazi na wana mbogo maji klabu ya Ihefu baada ya Zuberi Katwila kuondoshwa mwanzoni mwa msimu huu.

Ihefu ipo nafasi ya 14 ya msimamo wa Ligi ikiwa imecheza michezo 12 na imekusanya alama kumi [10] pekee.

Makala Nyingine

More in NBC Premier League