Connect with us

NBC Premier League

UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI SASA RUHSA

TFF imeufungulia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo mkoani Tabora ambao ulikuwa ukitumiwa na Tabora United kama uwanja wao wa nyumbani kuendelea kutumika kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu na Championship baada ya kuridhishwa na ukarabati kama ilivyoidhinishwa kwa mujibu wa kanuni za leseni za vilabu.

Taarifa kutoka TFF inasema:

Makala Nyingine

More in NBC Premier League