Connect with us

Azam FC

MBOMBO AREJEA NKANA YA ZAMBIA.

Klabu ya Azam imetangaza kuachana na nyota wake mshambuliaji raia wa DR Congo Idris Illunga Mbombo kwenye dirisha hili dogo la usajili la mwezi January.

Idris Mbombo anampisha kiungo mshambuliaji raia wa Colombia Franklin Navarro aliyejiunga na kikosi hicho kwenyr dirisha hili la usajili akitokea nchini kwao Colombia.

Mbombo tayari ametambulisha na klabu yake ya zamani ya Nkana na ataitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili [2]. Mbombo hakuwa na msimu bora sana Azam huku akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara.

Makala Nyingine

More in Azam FC