Connect with us

AFCON

RATIBA YA MICHEZO YA AFCON 2023 LEO.

Baada ya mchezo wa ufunguzi wa fainali za mataifa ya Afrika kupigwa hapo jana kati ya mwenyeji Ivory Coast dhidi ya Guinea Bissau [2-0], leo ratiba ya michuano hiyo inatarajia kuendelea kwa michezo mitatu kupigwa.

Leo mchezo wa mwisho utakuwa ukiwakutanisha Ghana na Cape Verde, kuelekea mchezo huo kocha mkuu wa kikosi cha Ghana Chris Hughton amemsifu sana golikipa wake.

“Richard Ofori ni mtu ambaye hajawahi kuliangusha Taifa lake, kutokana na uwepo wake na kazi anayoifanya”, amesema Chris Hughton, kocha wa Ghana.

Richard Ofori anacheza kwenye klabu ya Orlando Pirates inayoshiriki Ligi kuu nchini Ivory Coast.

KUNDI A

17:00 Nigera vs Equatorial Guinea

KUNDI B
20:00 Misri vs Msumbiji
23:00 Ghana vs Cape Verde.

Makala Nyingine

More in AFCON