Connect with us

Makala Nyingine

AFISA TFF ATOA UFAFANUZI JUU YA GHARAMA ZA MECHI ZA AL HILAL.

Afisa habari wa shirikisho la soka nchini Tanzania [TFF] Cliford Ndimbo ameeleza kuwa watalitolea ufafanuzi suala la nani atagharamikia kuisafirisha timu itakayoenda kucheza na Al Hilal Omdurman ugenini.

Ndimbo ameweka wazi kuwa taarifa hiyo wataitolea ufafanuzi hivi karibuni juu ya nani ataingia gharama lakini pia wataona kama itawezekana timu hiyo kuhesabiwa alama zake itakazovuna kwenye hiyo michezo.

“Tutalitolea ufafanuzi hilo suala, tumetoa ufafanuzi wa taarifa ya kwanza na taarifa zingine zitafuata.” – Cliford Ndimbo, Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania [TFF]

Makala Nyingine

More in Makala Nyingine