Connect with us

Bundesliga

XABI AICHAGUA BAYERN NA KUIKACHA LIVERPOOL.

Taarifa kutoka nchini Ujerumani zinadai kuwa kama kocha mkuu wa kikosi cha Bayer Leverkusen Xabi Alonso ataamua kuondoka kwenye klabu hiyo kipindi cha joto basi timu atakayochagua kwenda ni Bayern Munich mbele ya Liverpool.

Alonso huenda akaondoka Bayer Leverkusen mwishoni mwa msimu huu iwapo tu ataifanikisha klabu hiyo kutwaa taji la Ligi kuu msimu huu.

Makala Nyingine

More in Bundesliga