Connect with us

NBC Premier League

IMANI ZA KISHIRIKINA ZAIPONZA SIMBA.

Klabu ya Simba imelimwa faini ya million moja kwa kosa la mashabiki na walinzi wake kupanga njama za kuingia uwanjani na kufanya tukio ambalo linaonyesha ishara ya ushirikina.

Tukio hilo lilitokea kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa, hata hivyo pia wahusika wamefungiwa kuingia uwanjani kwa miezi 12.

Makala Nyingine

More in NBC Premier League