Tanzania imepangwa kundi B kwenye Michuano ya CECAFA U-18 inayotarajiwa kutimua vumbi kwenye miji ya Kisumu na Kakamega nchini Kenya kuanzia Novemba 25.
Mpangilio Kamili wa makundi yote ni kama yanavyoonekana.
Ikumbukwe hivi karibuni imetoka kumalizikia michuano mingine ya CECAFA U-15 iliyofanyika Njeru, Uganda ikishuhudia Zanzibar U-15 wakitawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo wakiivua ubingwa Uganda.