Spain walitoka kupata ushindi mnono wa 7-1 dhidi ya Georgia wanakutana na Cyprus waliotoka kufungwa 3-0 na Scotland kwenye mchezo wao wa mwisho kabla ya kukutana leo. Kwenye michezo yao 5 ya mwisho, Spain kammfunga mara 3 Cyprus, wakifungwa mara 1 na kutoa sare mara 1 tu pia.
TIP: Mchezo utakuwa na magoli. Mpe Spain ushindi wa 3-0 na Magoli zaidi ya 2.5. Sikushauri uweke Wafungane.
ITALY V UKRAINE
Wote wawili wametoka kutoka sare ya 1-1, Ukraine wakiwaduwaza England lakini Italia dhidi ya Macedonia ni kama matokeo ya kukera zaidi kwa waitaliano. Historia ya mchezo huu pia unaonyesha ugumu wake. Kila mmoja akishinda mechi 2 na kutoa sare 1.
TIP: Zaidi ya magoli 1.5 inawezekana. Ila kama ni ushindi mpe Italy ushindi mwembamba, 1-0. Wote wanaweza kufungana(Both Teams To Score)
BELGIUM V ESTONIA
Ushindi mwembamba dhidi ya Azerbaijan kwa goli la dk. 38 la Carrasco, ndio matokeo ya mwisho ya Ubelgiji huku Estonia akitoka kunyukwa 5-0 na Sweden. Ubelgiji wamekuwa wababe wa Estonia kwenye michezo 5 iliyopita, wakishinda 4 na kutoka sare 1 tu.
TIP: Ubelgiji atashinda kwa zaidi ya Goli 2. Mpe Handicap yoyote. Sikushauri uweke BTTS japo zipo mechi zilizoisha na matokeo hayo.