Stories By Chuddy
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGEITA KUMRUDISHA YACOUBA TANZANIA.
Nyota wa zamani wa Yanga na Ihefu, Yacouba Songne yupo mbioni kurejea nchini, na fasta Geita Gold wamejiongeza kwa kumuita mezani...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoJOHN BOCCO NDIO BASI TENA SIMBA SC.
Safari ya misimu saba ndani ya Simba kwa mshambuliaji John Bocco inakaribia ukingoni baada ya uongozi wa klabu hiyo kumtoa kwenye...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoKOCHA SIMBA, MAYELE SAFI, YANGA “OUT” TUZO AFRIKA.
Kocha Mkuu wa klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC Abdelhak Benchikha ni miongoni mwa majina matatu ya makocha Afrika wanaowania tuzo...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoCAF KUWAPIMA WACHEZJI MATUMIZI YA MADAWA.
Taarifa za ndani kutoka shirikisho la soka Afrika zinasema kuwa kuanzia mechi zijazo za Klabu Bingwa na Shirikisho litachukua sampuli za...
-
Timu za Taifa za Wanawake za Tanzania
/ 1 year agoTWIGA STARS YAREJEA NCHINI.
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimewasili nchini Tanzania kikitokea Togo kilipotoka kucheza dhidi ya timu hiyo na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoWACHEZAJI WAKATIWE BIMA – NDUMBARO.
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari,...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGEITA FC YAFANYA MABADILIKO YA UONGOZI.
Menejimenti ya Klabu ya Geita Gold imefanya mabadiliko ya kiutendaji katika nafasi ya Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo iliyokuwa inatumikiwa na...
-
EPL
/ 1 year agoRASHFORD BADO ANAJITAFUTA MAN UTD.
Nyota wa timu ya Taifa ya Uingereza Marcus Rashford aliwekwa benchi hapo jana kwenye Uwanja wa Old Trafford wakati timu yake...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM FC KUISHUSHA YANGA SC KILELENI LEO?
Klabu za Azam FC na KMC ziko moto na leo usiku zinakutana kwa mara ya kwanza msimu huu katika mechi ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIHEFU YAFIKISHA SIKU 60 BILA USHINDI.
Sare ya 0-0 hapo jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC mzunguko wa 13 kati ya Prison dhidi ya Ihefu...