Stories By Khalifa Mgaya
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YASWEKWA KOROKORONI MORO, MASHUJAA IKIJIPAPATUA
Tanzania Prisons wamefanikiwa kuibuka na alama zote 3 baada ya kuwaduwaza Simba kwa kuwanyuka mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIHEFU YAITAMBIA KMC
Timu ya soka ya Ihefu imefanikiwa kuvuna alama zote 3 na kusogea hadi nafasi ya 7 wakifikisha alama 23 baada ya...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoDUBE AOMBA KUTIMKA AZAM
Klabu ya soka ya Azam FC imethibitisha kupitia kwa Afisa Habari wake Thabith Zakaria “ZakaZaKazi” kuwa imepokea barua ya maombi ya...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA NA YANGA ZAPANDA VIWANGO CAF, ZAWEKA REKODI
Timu za Soka za Tanzania Simba na Yanga zimepanda Viwango kwa mujibu wa Mfumo Rasmi wa Daraja na Alama wa CAF...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA YAIFUMUA JWANENG GALAXY, YATINGA ROBO FAINALI
Simba wamefanikiwa kuingia hatua ya Robo Fainali ya michuano Ligi ya Mabingwa baada ya kuifumua Jwaneng Galaxy kwa mabao 6-0 kwenye...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMASHUJAA, MTIBWA SUGAR MAMBO SAFI, SINGIDA FG HOI
Mashujaa FC wamefanikiwa kusogea mpaka nafasi ya 12 kutoka nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara bada ya...
-
Boxing
/ 1 year agoSELEMANI KIDUNDA, ASEMAHLE WELLEM HAKUNA MBABE
Pambano la Mkanda wa WBF : WORLD BOXING FOUNDATION kati ya Bondia Mtanzania Selemani Kidunda na Asemahle Wellem wa Afrika Kusini...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoYANGA YAKUBALI KICHAPO KUTOKA KWA AL AHLY
Yanga wamepoteza nafasi ya kumaliza Vinara wa Kundi B baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Al Ahly kwenye...
-
Azam Sports Federation
/ 1 year agoSIMBA YAIKAMUA TRA KILIMANJARO
Simba wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuitandika timu ya daraja la...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM WAMUENZI DKT. MWANKEMWA KWA USHINDI, GEITA GOLD NA KAGERA SULUHU
Azam FC wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 mbele ya wenyeji wao Singida FG kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara...