Stories By Khalifa Mgaya
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIHEFU YAVUTWA SHATI LITI, PRISONS IKITAKATA MBEYA
Ihefu wameshindwa kutamba kwenye Uwanja wao mpya waliohamia wa CCM Liti uliopo mkoani Singida baada ya kulazimishwa Sare na bao 1-1...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, MTIBWA AKISOTA MANUNGU
JKT Tanzania walitangulia kupata goli kupitia kwa Najimu Magulu dakika ya 8 ya mchezo akipokea pasi kutoka kwa Sixtus Sabilo aliyefanya...
-
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM YANG’ANG’ANIWA TABORA, DABO ALIA NA WAAMUZI
Azam FC wameshindwa kufurukuta mbele ya Nyuki wa Tabora baada ya kulazimishwa Suluhu ya 0-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGEITA GOLD HALI TETE, YANYUKWA NA IHEFU
Ihefu wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 mfululizo baada ya kuwafunga Geita Gold 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAITANDIKA KMC, YAJIKITA KILELENI
Yanga wamezidi kujikita kileleni kibabe baada ya kuwanyuka KMC mabao 3-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye dimba...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM YASHINDA, KAGERA YABANWA
Azam FC wameibuka na ushindi muhimu kwenye mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mabao 2-1 dhidi ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YAUZINDUA MEJA JEN. ISAMUHYO KWA USHINDI
Simba wamezidi kuwasogelea vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga kwa kufikisha alama 36, alama 4 nyuma ya vinara hao...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YAJINASUA KWENYE MTEGO GEITA GOLD
Simba wamevuna alama zote 3 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoHAPPY 89TH BIRTHDAY YANGA WAKIINYUKA PRISONS
Yanga wameidhimisha miaka 89 ya Kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao kwa Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons kwenye...