Stories By Lamarcedro
-
Top Story
/ 1 year agoTANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA BEACH SOCCER AFRIKA KUSINI.
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni inatarajiwa kuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki mashindano ya COSAFA Beach Soccer Championship...
-
Serie A
/ 1 year agoPOGBA AFUNGIWA MIAKA 4 AAHIDI KUKATA RUFAA.
Nyota wa klabu ya Juventus Paul Pogba amefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka minne baada ya uchunguzi kubainika kuwa alikuwa anatumia...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoHERSI AITAJA AL AHLY NA MAMELODI KUCHEZA FAINALI CAF CL.
Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said ameeleza kuwa mchezo wa fainali wa Ligi ya mabingwa Barani Afrika msimu huu...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoDIENG: YANGA INAWEZA KUCHEZA FAINALI CAF CL.
Kiungo wa Al-Ahly ameitabiria makubwa klabu ya Yanga kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu. “(Al-Ahly) Tulikuwa tunaangalia...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoMWEKEZAJI ADAI KUINUNUA KLABU MIAKA MITANO NYUMA.
Mdhamini wa klabu ya Simba na mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania Mohamed Dewji ameeleza kuwa moja ya jambo ambalo anapaswa kujivunia na...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAHMED ALLY: TUNA UHAKIKA TUNAENDA KUFUZU.
Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameendelea na hamasa kwa mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wao...
-
Top Story
/ 1 year agoGUARDIOLA: ALONSO ANATUMIA AKILI SANA.
Kocha mkuu wa kikosi cha Manchester City Pep Guardiola amemzungumzia kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso kama kocha mbishia na mwenye...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTIMU TATU ZA LIGI KUU NA CHAMPIONSHIP KUBADILI MAJINA.
Kwamujibu wa ripoti mbalimbali zinasema kuwa klabu ya Ihefu yenye maskani yake mkoani Singinda inampango wa kubadilisha jina na kuwa Singida...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoJWANENG GALAXY YAWASILI NCHINI KUIKABILI SIMBA.
Klabu ya Jwaneng Galaxy kutoka Botswana tayari imefika nchini Tanzania kwaajili ya mchezo wao wa Ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi...
-
EPL
/ 1 year agoLAMPARD: KOBBIE NI BORA ZAIDI YA CASEMIRO NA RODRI.
Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya England Frank Lampard anaamini kuwa nyota wa sasa wa...