Stories By Lamarcedro
-
Uefa Europa League
/ 1 year agoNOVATUS KUSHUKA DIMBANI EUROPA LEAGUE LEO.
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas leo atashuka Dimbani kwenye mchezo wa Europa akiwa na klabu yake ya Shakhtar Donetsk...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTANZANIA PRISON KUREJESHA HESHIMA BAADA YA KIPIGO.
Tanzania Prisons baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Yanga (2-1) kwenye uwanja wa CCM Sokoine, Jijini Mbeya inatarajiwa kushuka dimbani...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoNYOTA UHOLANZI AHUKIMIWA JELA MIAKA SITA.
Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi Quincy Promes amehukumiwa kwenda jela kwa miezi sita kwa kosa la usafirishaji...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJKT YAAHIDI KUMCHAPA SIMBA MECHI YA KESHO.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo kati ya JKT Tanzania wakiwaalika klabu ya Simba. JKT Tanzania kwa...
-
Top Story
/ 1 year agoCHANZO CHA WACHEZAJI WA ZANZIBAR KUSHINDWA LIGI KUU BARA.
Zanzibar imesifika sana kwa kuzalisha wachezaji wengi wenye vipaji ambao wamekuwa msaada mkubwa kwa klabu kadhaa zinazoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara...
-
Top Story
/ 1 year agoMESSI MILANGO IPO WAZI KUSHIRIKI OLYMPIC 2024.
Nyota wa klabu ya Inter Miami na timu ya Taifa ya Argentina, Leonel Messi anatajwa kujumuika na kikosi cha timu ya...
-
AFCON
/ 1 year agoAHMED MUSSA: ACHENI KUMSEMA IWOBI PEKE YAKE.
Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria Ahmed Musa, ametoa wito kwa watu kuacha kumshambulia kiungo wa timu hiyo Alex Iwobi....
-
Top Story
/ 1 year agoNGASSA: KAMA KUNA MAJINI FEITOTO ANGEKUWA CHIZI.
Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga Fiston Kalala Mayele jana alitoka mtandaoni na kudai kuwa viongozi wa klabu ya Yanga...
-
AFCON
/ 1 year agoDIAKITE: TULIKUWA KAMA MIZIMU KWENYE MASHINDANO.
Nyota wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Oumar Diakite mara baada ya kunyakua kombe la mataifa ya Afrika hapo jana...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoGSM KUJENGA UWANJA WA YANGA JANGWANI.
Klabu ya Young Africans kupitia kwa Rais wake Eng. Hersi Said leo wametangaza kuwa mdhamini na mfadhili wa klabu hiyo Gharib...