Stories By Lamarcedro
-
AFCON
/ 1 year agoCONGO DR NA UBINGWA WA IVORY COAST AFCON 2023.
Timu ya Taifa ya DR Congo imebeba ubingwa wa AFCON mara mbili kwenye historia yao na mara zote wamebeba baada ya...
-
AFCON
/ 1 year agoCAF: JULY TUTAPATA WACHEZAJI WENGI KULIKO JANUARY.
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limetangaza rasmi fainali za mataifa ya Afrika [AFCON 2025] zitakazofanyika nchini Morocco zitachezwa majira ya...
-
AFCON
/ 1 year agoREKODI ZA UBINGWA NIGERIA NA AFRIKA KUSINI.
Mara ya mwisho Nigeria kutwaa ubingwa wa AFCON 2013 timu zote za kiarabu hazikufanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali. Mara ya...
-
PBZ Premier League
/ 1 year agoMLANDEGE YAPIGWA TANO NA KVZ YALALAMIKIA RED EYES.
Ligi kuu soka visiwani Zanzibar PBZ imeendelea hapo jana kwa mchezo kati ya KVZ dhidi ya Mlandege mchezo ambao ulimalizika kwa...
-
Uhamisho
/ 1 year agoPSG KUINASA SAINI YA LEAO MBADALA WA MBAPPE.
Klabu ya PSG inamtazama mshambuliaji wa AC Milan na timu ya Taifa ya Ureno Raphael Leao kama mbadala wa Kylan Mbappe...
-
Sticky Post
/ 1 year agoUWANJA WENYE HISTORIA YA PELE NA MARADONA KUFUNGUA WORLD CUP.
Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi tarehe ya ufunguzi wa fainali za kombe la Dunia la mwaka 2026 ambalo litaandaliwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA INAIONEA DODOMA JIJI LIGI KUU TANZANIA BARA.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja kuchezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kati ya...
-
FIFA World Cup
/ 1 year agoDIMBA LENYE HISTORIA YA PELE NA MARADONA KUFUNGUA WORLD CUP.
Fainali za kombe la Dunia 2026 zitaanza June 11 nchini Mexico na fainali kupigwa July 19 nchini Marekani.
-
AFCON
/ 1 year agoMASHABIKI NIGERIA WAIJIA JUU NAPOLI KISA OSIMHEN.
Mashabiki wa soka nchini Nigeria wameilalamikia klabu ya Napoli kwa kutokuonyesha ushirikiano kwa nyota wa Victor Osimhen katika kipindi ambacho yupo...
-
EPL
/ 1 year agoPOCH AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI BAADA YA KIPIGO.
Chelsea jana ilichezea chuma nne [4-2] kutoka klabu ya Wolves kwenye mchezo wa EPL, kocha mkuu wa kikosi hicho Mauricio Pochettino...