Stories By Lamarcedro
-
Boxing
/ 1 year agoTIMU YA TAIFA YA NGUMI YAWEKA KAMBI KIBAHA.
Raisi wa Shirikisho la Ngumi Tanzania Ndugu Lukelo Willilo, amempongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu...
-
Uhamisho
/ 1 year agoKIUNGO FUNDI WA TANZANIA ATIMKIA ZAMBIA.
Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heroes Abdulkarim Humud amejiunga na klabu ya Konkola Blades inayoshiriki...
-
Serengeti Lite Women Premier League
/ 1 year agoTFF YAILIMA JKT QUEENS FAINI MILLION 3 KISA SIMBA.
TFF imeipokonya klabu ya JKT Queens alama 5 na faini Tshs 3,000,000/= [Million tatu] baada ya kugomea mchezo dhidi ya Simba...
-
AFCON
/ 1 year agoNYOTA NIGERIA WAVUNA MILLION 76 KUIFUATA AFRIKA KUSINI.
Baada ya timu ya Taifa ya Nigeria kufuzu hatua ya nusu fainali ya fainali za mataifa ya Afrika ambazo zinaendelea nchini...
-
AFCON
/ 1 year agoTHAMANI YA A. KUSINI BILLION 63 TZS NA NIGERIA BILLION 910 TZS.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Eric Djemba Djemba alitabiri bingwa anaweza kuwa kati ya Equatorial Guinea, Cape Verde au Afrika...
-
AFCON
/ 1 year agoNANI KUIBUKA GOLIKIPA BORA AFCON 2023.
Ronwen Williams ni miongoni mwa magolikipa bora kwasasa Barani Afrika, anafanya kila kitu uwanjani na anapohitajika kuivusha timu anasimama kama Musa...
-
AFCON
/ 1 year agoAFRIKA KUSINI NA REKODI ZA KUITISHA CAPE VERDE LEO.
Mchezo mwingine wa usiku sana majira ya saa tano [23:00] usiku utazikutanisha timu ambazo zimewashangaza watangazaji wengi na wapenzi wa soka...
-
AFCON
/ 1 year agoMALI YAAHIDI KUMUONDOSHA MWENYEJI AFCON LEO.
Mwenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika timu ya Taifa ya Ivory Coast leo saa mbili [20:00] usiku kuikabili Mali katika...
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA KUANZA NA MTIBWA ZANZIBAR.
Klabu ya Simba imepewa kibali cha kuutumia uwanja wa New Amaan Complex uliopo visiwani Zanzibar kwaajili ya michezo yake ya Ligi...
-
AFCON
/ 1 year agoNYOTA CAMEROON ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA.
Timu ya Taifa ya Cameroon haikuwa na wakati mzuri sana kwenye fainali za mataifa ya Afrika msimu huu zinazoendelea nchini Ivory...