Stories By Lamarcedro
-
AFCON
/ 1 year agoMCHEZAJI MISRI AUMIA KICHWANI AKIPIGA SARAKASI YA MSUVA.
Nyota wa timu ya Taifa ya Misri Emam Ashour hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa ya Misri kitakachoikabili timu...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoMGUNDA: TUKIJUA UMUHIMU WA MASHINDANO HAYA TUTAFANYA MAAJABU.
Timu ya Taifa ya Tanzania imeweka historia kwenye michuano ya AFCON 2023 tangu imeanza kushiriki kwa mara ya kwanza imevuna alama...
-
AFCON
/ 1 year agoSHAFFIH DAUDA: NAWAPA NAFASI CONGO DR KUSHINDA LEO.
Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajia kutupa karata yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya fainali za mataifa ya Afrika...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA ALGERIA: AFCON HII HAKUNA TIMU KIBONDE.
Timu ya Taifa ya Algeria imeondoshwa rasmi jana kwenye michuano ya AFCON inayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kumaliza nafasi ya...
-
Uhamisho
/ 1 year agoMSUVA: NINA FURAHA KURUDI TENA SAUDI ARABIA.
Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Simon Msuva amejiunga na klabu ya Al Najma inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini...
-
AFCON
/ 1 year agoMAAJABU YA KOCHA WA MAURITANIA.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Mauritania Mfaransa Amir Abdou jana amewashtua wengi baada ya timu yake kuipa...
-
AFCON
/ 1 year agoGHANA YATIMUA BENCHI ZIMA LA UFUNDI TIMU YA TAIFA.
Shirikisho la soka nchini Ghana limetangaza kuachana na kocha wake Chris Hughton baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya AFCON inayoendelea nchini...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS: MCHEZO WA KESHO NI FAINALI KWETU.
Kaimu kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa mechi ya kesho dhidi ya...
-
Barcelona
/ 1 year agoGREENWOOD: BARCELONA TIMU YA NDOTO ZANGU.
Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu imekuwa ikimfuatilia kwa karibu nyota wa klabu ya Manchester United Manson Greenwood anayekipiga kwa mkopo...
-
AFCON
/ 1 year agoKUDUS: UMAKINI MDOGO DAKIKA ZA MWISHO UMETUTOA.
Nyota wa klabu ya Westham United na timu ya Taifa ya Ghana Mohamed Kudus ameonyesha kusikitishwa baada ya kutolewa kwa timu...