Stories By Lamarcedro
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA IWEKE PESA KUPATA WACHEZAJI WAZURI.
Ukiwasikiliza viongozi wa klabu ya Simba kwa asilimia kubwa wanasema dirisha lijalo watafanya maboresho makubwa sana. Ukimsikiliza Kocha Benchikha nae anasema...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoENDRICK MCHEZAJI MDOGO WA BRAZIL KUIFUNGA ENGLAND NA SPAIN.
Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Endrick amekuwa mchezaji wa kwanza mdogo zaidi wa Taifa...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoAL AHLY YATUA NCHINI TAYARI KUIKABILI SIMBA IJUMAA.
Klabu ya Al Ahly tayari imetua nchini kwaajili ya mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoKOCHA MAMELODI AELEZA SABABU ZA KUKAGUA UWANJA BILA VIATU.
Kocha wa kikosi cha Mamelodi Sundowns Rulani Mokwena ameweka wazi kuwa wana kawaida ya kukagua uwanja kabla ya mechi bila viatu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIMANI ZA KISHIRIKINA ZAIPONZA SIMBA.
Klabu ya Simba imelimwa faini ya million moja kwa kosa la mashabiki na walinzi wake kupanga njama za kuingia uwanjani na...
-
International Football
/ 1 year agoSAN MARINO IMEKAA MIAKA 20 BILA USHINDI.
Timu ya Taifa ya San Marino jana ilicheza dhidi ya Saint kitta and Nevis na inakuwa sare ya kumi [10] kwenye...
-
International Football
/ 1 year agoMONGOLIA WAPINZANI WA TAIFA STARS HALI MBAYA.
Timu ya Taifa ya Tanzania leo itashuka dimbani saa kumi [16:00] jioni kuikabili timu ya Taifa ya Mongolia. Mongoli hadi hivi...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoHAKUNA KUINGIA NA PASSPORT, WAZIRI ALIKUWA ANA TANIA.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro kwamba...
-
Top Story
/ 1 year agoNYOTA MTANZANIA AANZA KUUWASHA CANADA.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Cyprian Kachwele anayekipiga katika klabu ya Whitecaps FC 2, jana amefanikiwa kufunga goli moja...
-
Top Story
/ 1 year agoNYOTA WA AL AHLY AIKANA ZAMALEK LICHA YA KUITUMIKIA.
Mshambuliaji wa klabu ya Al Ahly Mahmoud Sulaiman Kahraba ameweka wazi kuwa ndoto yake ilikuwa kuichezea Al Ahly tangu akiwa Zamalek....