Stories By Lamarcedro
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO.
Takwimu za michezo mitatu (3) ya mzunguko wa tisa (9) wa Ligi kuu kandanda tanzania Bara zinazopigwa hii leo November 3.
-
Top Story
/ 1 year agoMCHEZAJI WYDAD AFARIKI KWA AJALI.
Rais wa klabu ya Wydad AC ametangaza kifo cha nyota wa kikosi hicho Osama Faloh aliyepata ajali ya gari wiki chache...
-
Top Story
/ 1 year agoERITREA YAJITOA KUSHIRIKI WORLD CUP.
Eritrea imejitoa kushiriki katika mashindano yote makubwa iliyopangwa kushiriki ikiwemo Afcon na kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMAANDALIZI YAKO VIZURI DERBY YA KARIAKOO.
Afisa habari wa bodi ya Ligi Tanzania Karim Boimanda amesema maandalizi kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo yanaendelea vyema
-
International Football
/ 1 year agoUGANDA YATANGAZA KOCHA MPYA.
Pot Joseph ametajwa kujiunga na kikosi hicho cha The Cranes akichukua nafasi ya Milutin aliyetimka kikosini hapo.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKMC IPO TAYARI KUIACHIA AZAM KOCHA MOALLIN.
Klabu ya KMC imesema haitakuwa na kizuizi chochote kama Azam ikimhitaji kocha wao Abdi Hamid Moallin.
-
African Football League
/ 1 year agoMAMELODI USO KWA USO NA WYDAD AC.
Mamelod imefuzu fainali baada ya kuiondosha Al Ahly, Wydad imefuzu kwa kuiondosha esperance de Tunis.
-
EPL
/ 1 year agoTEN HAG AWOMBA RADHI MASHABIKI MAN UNITED.
Eric Ten Hag amepoteza michezo mingi zaidi (8) kwenye mechi 15 za kwanza tangu msimu wa 1972/73 na baada ya matokeo...
-
Manchester United
/ 1 year agoWACHEZAJI MAN. UNITED WALALAMIKIA JEZI.
Wachezaji wa klabu ya Manchester United wanalalamika kuhusu jezi zao za msimu huu kuwabana.
-
Top Story
/ 1 year agoYANGA, DIARRA WATAJWA TUZO ZA AFRIKA.
Klabu ya Yanga imeingia kwenye kipengele cha kuwania tuzo ya klabu bora ya mwaka 2023 na Mlinda lango wake Djigui Diarra...