Stories By Lamarcedro
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTANZANIA KUWANIA TUZO YA TIMU BORA AFRIKA.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imewekwa kwenye kipengele cha tuzo ya timu bora ya mwaka Barani Afrika, tuzo zinazotolewa...
-
African Football League
/ 1 year agoVITA YA WAKUBWA KUTIKISA LEO AFL.
Al Ahly anaikaribisha Mamelodi Sundowns leo na Esperance de Tunis itakuwa mwenyeji wa Wydad AC leo.
-
Top Story
/ 1 year agoTWIGA STARS KUIKABILI AFRIKA KUSINI.
Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars Jana imeibuka na ushindi wa goli 0-1 dhidi ya Botswana goli lililofungwa na Aisha...
-
Simba
/ 1 year agoSIMBA YALAMBA BILLION 1.5 KUTOKA SBL.
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Billion 1.5 na kampuni ya Bia ya SBL.
-
International Football
/ 1 year agoRAIS LULA AWATAKA WACHEZAJI KUMUIGA MESSI.
Rais wa Brazil Luiz Lula amewataka wachezaji raia wa Brazil kumuiga Leonel Messi kama wanataka kushinda Ballon d'Or na kombe la...
-
Top Story
/ 1 year agoWAJUMBE UBUNGO WAGOMEA UCHAGUZI.
Wajumbe wa Chama cha soka Wilaya ya Ubongo wamegomea uchaguzi baada ya wagombea wengine majina yao kukatwa.
-
Top Story
/ 1 year agoTWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO.
Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars kushuka dimbani hii leo saa 12:00 Jioni kuikabili Botswana katika mchezo wa marejeano, mchezo...
-
Top Story
/ 1 year agoJKT QUEENS KUONDOKA KESHO ALFAJIRI.
Klabu ya JKT Queens kuianza safari kesho Alfajiri kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika...
-
Yanga
/ 1 year agoAZIZ KI MCHEZAJI BORA WA YANGA OKTOBA.
Nyota wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki ametangazwa kuwa mchezaji bora wa klabu ya Yanga kwa mwezi Oktoba.
-
Top Story
/ 1 year agoKIEMBA: MESSI HAKUSTAHILI BALLON D’OR
Mkongwe Amri Kiemba amesema Messi hakustahili kubeba tuzo ya mchezaji bora msimu huu.