Stories By Lamarcedro
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA HAINA KIKOSI CHA KUFIKA FAINALI CAFCL.
Mchambuzi wa soka nchini Gharib Mzinga amesema Simba inatakiwa kufanyika maboresho kwenye kikosi chao ili iweze kufika fainali ua CAF Champions...
-
Azam FC
/ 1 year agoMICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO.
Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miatatu kupigika Jijini Dar Es Salaam.
-
Real Madrid
/ 1 year agoVINICIUS JR ATABEBA BALLON D’OR.
Kocha wa Real Madrid anaamini nyota wake Vinicius Jr atabeba Ballon d'or mapema.
-
International Football
/ 1 year agoTWIGA STARS YAICHAPA BOTSWANA.
Twiga Stars imeibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Botswana na kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kufuzu kuelekea hatua...
-
EPL
/ 1 year agoDAVID DE GEA KUREJEA MANCHESTER UNITED.
Klabu ya Manchester United imepanga kumsajili nyota wake wa zamani David De Gea katika dirisha dogo la mwezi January.
-
African Football League
/ 1 year agoAFL KUENDELEA HII LEO AFRIKA.
TP Mazembe itashuka dimbani hii leo kuitafuta tiketi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFL dhidi ya Esperance...
-
Taifa Stars
/ 1 year agoTANZANIA NAFASI YA 122 DUNIANI.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora Duniani vilivyotolewa na shirikisho la soka...
-
Ligi Nyingine
/ 1 year agoINTER MIAMI KUMSAJILI LUIS SUAREZ.
Luis Suarez ataungana na rafiki yake wa karibu Leonel Messi kwenye kikosi cha Inter Miami msimu ujao kama usajili wake kutoka...
-
Manchester United
/ 1 year agoERIKSEN NI BORA KULIKO AMRABAT.
Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amesema mchezo wa Manchester United dhidi ya Copenhagen ulikuwa kama wa Europa.
-
Uefa Champions League
/ 1 year agoNOVATUS KUIKABILI BARCELONA UCL LEO.
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas atashuka Dimbani hii leo kuikabili FC Barcelona akiwa na kikosi cha Shakhtar Donetsk kwenye...