Stories By Lamarcedro
-
Chelsea
/ 2 years agoEDEN HAZARD ATANGAZA KUTUNDIKA DALUGA.
Baada ya michezo mia saba niliyocheza nimeamua kutangaza kuacha kucheza mpira, nilifuata ndoto zangu, nimefurahia kucheza kwenye viwanja vingi.
-
International Football
/ 2 years agoJWANENG GALAXY IPO TAYARI KUPAMBANA NA SIMBA.
Afisa habari wa klabu ya Jwaneng Galaxy amesema wao ni mabingwa hawaiogopi Simba, na kushiriki hatua ya 16 bora Barani Afika...
-
Chelsea
/ 2 years agoNYOTA WA ZAMANI WA CHELSEA LOIC REMY ATUNDIKA DALUGA.
Remy ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 36, baada ya mkataba wake na Brest kutamatika.
-
NBC Premier League
/ 2 years agoREKODI ZA LIGI KUU MZUNGUKO WA TANO
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara ipo mzunguko wa tano na kila timu imecheza michezo mitano.
-
Taifa Stars
/ 2 years agoBENARD KAMUNGO ANA NAFASI YA KUCHEZA TAIFA STARS.
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Oscar Mirambo amesema bado wanaendelea na mchakato wa kuhakikisha Kamungo anaitumikia Stars.
-
Timu
/ 2 years agoYANGA YAINGIA MKATABA NA NIC WA TZS MILLION 900.
NIC itakuwa ikitoa tuzo ya mchezaji bora wa klabu ya Yanga kwa kila mwezi, tuzo ambayo itakuwa ikipigiwa kura na mashabiki.
-
Azam FC
/ 2 years agoAZAM HAIWEZI KUBEBA UBINGWA ~ KOCHA MINGANGE.
Kocha wa zamani wa timu ya vijana ya Azam Meja Abdul Mingange amesema Azam haiwezi kuwa bingwa kwasababu viongozi wanaosimamia mpira...
-
International Football
/ 2 years agoKUIONA YANGA RWANDA ELFU ISHIRINI KWA LAKI MOJA.
Klabu ya AL Merreikh ya Sudan imetaja viingilio vya mchezo wao dhidi ya Young Africans, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya tarehe 16...
-
International Football
/ 2 years agoKLOPP HAONDOKI LIVERPOOL.
Wakala wa kocha mkuu wa kikosi cha Liverpool Jurgen Klopp, Kosicke amethibitisha kuwa mteja wake hatajiunga na timu ya Taifa ya...
-
International Football
/ 2 years agoGARETH SOUTH GATE AHUZUNISHWA NA WACHAMBUZI.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya England Gareth Southgate ameonyesha kukerwa na tabia ya Wachambuzi kumsema vibaya mlinzi wa kati...