-
International Football
/ 2 years agoJKT QUEENS INAJIANDAA KUWA MABINGWA AFRIKA.
Kocha wa JKT Queens Bakari Shime amesema kupitia maandalizi wanayoyafanya wanaweza kuibuka na ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
-
Chelsea
/ 2 years agoEDEN HAZARD ATANGAZA KUTUNDIKA DALUGA.
Baada ya michezo mia saba niliyocheza nimeamua kutangaza kuacha kucheza mpira, nilifuata ndoto zangu, nimefurahia kucheza kwenye viwanja vingi.
-
International Football
/ 2 years agoJUDE BELLINGHAM MFALME MPYA WA LOS BLANCOS
Kiungo wa Kimataifa wa Uingereza ambaye anakipiga katika kikosi cha Real Madrid, Jude Bellingham ameendelea kung’aa na kuvunja rekodi ya nguli...
-
International Football
/ 2 years agoSAFARI IMEWADIA KWA JADON SANCHO MAN UNITED
Manchester United wako tayari kutoa ruzuku ya mishahara ya Jadon Sancho ili kumuondoa kwenye dirisha la usajili la Januari. Gazeti la...
-
International Football
/ 2 years agoJWANENG GALAXY IPO TAYARI KUPAMBANA NA SIMBA.
Afisa habari wa klabu ya Jwaneng Galaxy amesema wao ni mabingwa hawaiogopi Simba, na kushiriki hatua ya 16 bora Barani Afika...
-
Chelsea
/ 2 years agoNYOTA WA ZAMANI WA CHELSEA LOIC REMY ATUNDIKA DALUGA.
Remy ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 36, baada ya mkataba wake na Brest kutamatika.
-
International Football
/ 2 years agoAC MILAN KUUZA JEZI YA GIROUD
Klabu ya soka ya AC Milan ya Italia imetoa kauli za kummsifia mshambuliaji wao Olivier Giroud kwa ushujaa wake kwenye mchezo...
-
International Football
/ 2 years agoPETER SCHMEICHEL, AAMUA KUMSHAURI ONANA
Golikipa wa zamani wa klabu ya Manchester United Peter Schmeichel ameongea na kipa wa sasa wa klabu hiyo Andre Onana juu...
-
International Football
/ 2 years agoAMRABAT:UNITED ILIKUWA NDOTO YANGU, NITACHEZA HATA KIPA
“Kuitumikia Manchester united ilikuwa ni ndoto yangu tangu nikiwa mtoto”. “Nacheza popote nitakapoweza ili kuisaidia timu, hata eneo la Golikipa! Nipo...
-
International Football
/ 2 years agoCHAMA CHA SOKA KUINGILIA KATI SAKATA LA TEN HAG NA JADON SANCHO
Chama cha Wanasoka wa Kulipwa ambacho ni muungano wa wanasoka na wasomi wote wa sasa na wa zamani katika Ligi Kuu...