-
AFCON
/ 1 year agoMABINGWA AFCON WAITEMBELEA TIMU YA TAIFA KUIPA HAMASA.
Timu ya Taifa ya Ghana wakati ikifanya mazoezi yake jana Jumamosi ilitembelewa na magwiji wa soka la nchi hiyo waliowahi kutwaa...
-
AFCON
/ 1 year agoKIBU KUIONGOZA STARS LEO KUPATA USHINDI WA KWANZA.
Timu ya Taifa ya Tanzania inashuka dimbani hii leo majira ya saa mbili [20:00] usiku kuikabili timu ya Taifa ya Zambia...
-
AFCON
/ 1 year agoSTARS ITAFANYA MAKUBWA MECHI IJAYO – KOCHA STARS.
Kaimu kocha mkuu wa kikosi cha Taifa Stars Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa kuelekea katika mchezo ujao wa fainali za mataifa...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS AAHIDI KUKATA RUFAA.
Kwa mujibu wa Taarifa zinasema kuwa kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche anajipanga kukata rufaa...
-
AFCON
/ 1 year agoSONG: CAMEROON YA SASA SIO ILE YA ZAMANI.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song ameweka wazi kuwa kwasada Cameroon ipo kwenye ujenzi na...
-
AFCON
/ 1 year agoKUDUS AMEIONGEZEA THAMANI AFCON 2023.
Mashindano ya AFCON 2023 yanaendelea kushika kasi nchini Ivory Coast ikiwa kwasasa iko kwenye mzunguko wa pili wa hatua ya makundi...
-
AFCON
/ 1 year agoMSUVA: MECHI ZINAZOFUATA ZA AFCON SIO RAHISI.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Simon Msuva ameweka wazi kuwa michezo miwili iliyobaki dhidi ya Zambia na...
-
AFCON
/ 1 year agoMASHABIKI WALITAKA SHIRIKISHO KUMPA TIMU MGUNDA.
Shirikisho la soka nchi Tanzania TFF limemteua aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Suleiman “Morocco” kuwa kaimu...
-
AFCON
/ 1 year agoMO SALAH KUZIKOSA MECHI ZIJAZO.
Shirikisho la soka nchini Misri limesema kuwa baada ya kumfanyia uchunguzi nyota wa klabu ya Liverpool na Captain wa timu hiyo...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS AFUNGIWA MECHI NANE.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars Adel Amrouche amefungiwa na shirikisho la soka Barani Afrika...