-
African Football League
/ 1 year agoVITA YA WAKUBWA KUTIKISA LEO AFL.
Al Ahly anaikaribisha Mamelodi Sundowns leo na Esperance de Tunis itakuwa mwenyeji wa Wydad AC leo.
-
African Football League
/ 1 year agoMZINGA: MAMELODI ANAINYANYASA AL AHLY.
Mchambuzi wa soka nchini Gharib Mzinga ametoa tathimini yake kuelekea mchezo wa nusu fainali ya kwanza kati ya Mamelodi dhidi ya...
-
African Football League
/ 1 year agoAFRICAN FOOTBALL LEAGUE KUENDELEA LEO.
Wydad kuikabili Esperance leo na Mamelodi kuivaa Al Ahly leo AFL.
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA HAINA KIKOSI CHA KUFIKA FAINALI CAFCL.
Mchambuzi wa soka nchini Gharib Mzinga amesema Simba inatakiwa kufanyika maboresho kwenye kikosi chao ili iweze kufika fainali ua CAF Champions...
-
African Football League
/ 1 year agoAFL KUENDELEA HII LEO AFRIKA.
TP Mazembe itashuka dimbani hii leo kuitafuta tiketi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFL dhidi ya Esperance...
-
African Football League
/ 1 year agoRATIBA YA MICHEZO YA AFL LEO.
Ili Simba iweze kufuzu inahitajika ipate ushindi wa aina yoyote ile, ili Petro de Luanda ifuzu hatua ya nusu fainali inapaswa...
-
African Football League
/ 1 year agoKANUNI YA GOLI LA UGENINI INATUMIKA AFL.
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football League zinasema klabu itanufaika na goli la ugenini.
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA IPO TAYARI KUIVAA AL AHLY KESHO.
Wachezaji wa Klabu ya Simba kupitia kwa nyota wake Willy Onana wamesema kesho wapo tayari kupambana ili warudi na ushindi nyumbani.
-
African Football League
/ 1 year agoSIMBA INA WAKATI MGUMU KWA AL AHLY.
Magori amesema klabu hiyo ina wakati mgumu kuelekea mchezo wa marejeano dhidi ya Al Ahly nchini Misri.
-
African Football League
/ 1 year agoENYIMBA YATIA DOSARI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE.
Mchezaji wa klabu ya Enyimba aliingia uwanjani akiwa amevaa jezi iliyoandikwa kwa mkono Jina lake na namba yake mgongoni.