-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA SC YAAMBULIA SARE UGENINI.
Klabu ya Simba imepata sare dhidi ya Jwaneng Galaxy ugenini nchini Botswana na sasa ana pointi 2 kwenye mechi mbili walizocheza...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoDANIEL MSENDAMI MCHEZAJI WA KUCHUNGWA JWANENG.
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Jwaneng Galaxy Daniel Msendami ndiye nyota wa kuchungwa zaidi hii leo katika mchezo dhidi ya Simba....
-
CAF Champions League
/ 1 year agoBACCA DAY INOGESHWE NA USHINDI LEO.
Ligi ya mabingwa Barani Afrika msimu huu imekuwa na matokeo ya kushangaza sana, kila timu inafanya maajabu kwa wakati wake. Usiyemdhania...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoGAMONDI: SIPENDI UTARATIBU WA KUITA MCHEZO JINA LA MCHEZAJI.
Kocha mkuu wa kikosi cha Young Africans, Miguel Gamondi ameonyesha kutokufurahishwa na maswala ya kutoa majina ya wachezaji kuelekea siku ya...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoTAKWIMU ZA AL AHLY MBELE YA YANGA ZINATISHA.
Klabu ya Yanga imeshinda mchezo mmoja pekee katika michezo sita (6) ya mwisho ambayo imekutana na klabu ya Al Ahly, imetoa...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoMWAMUZI WA YANGA SC, AL AHLY HADHARANI.
Mwamuzi Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAL HILAL YAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA.
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan imewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi katika mchezo wao unaofuata wa Ligi ya mabingwa Barani...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAL HILAL KUKIPIGA IJUMAA, UWANJA WA MKAPA.
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan itashuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi dhidi ya Esperance...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA YABADILISHIWA UWANJA DHIDI YA JWANENG GALAXY.
Mchezo kati ya Jwaneng Galaxy na Simba wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya pili ambao awali ulipangwa kuchezwa kwenye Uwanja...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAL AHLY KUKIPIGA LEO KABLA YA KUIKABILI YANGA.
Klabu ya Pyramids anayoitumikia mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Young Africans Fiston Kalala Mayele itashuka dimbani hii leo majira ya...