

Mapinduzi Cup
NYOTA MPYA KMC NJIA PANDA KWENDA YANGA.
Mlinzi wa kulia na nahodha wa Mladenge Abdallah Said Ali (T Lanso) amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya KMC inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara. Mchezo...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoMLANDEGE YAPEWA AHADI NZITO KUIFUNGA SIMBA.
Klabu ya Mlandege imeweka dau nono kwa wachezaji wake iwapo watafanikiwa kuifunga Simba na kuubakiza ubingwa wa michuano ya mapinduzi. Imekuwa...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoSIMBA YATINGA FAINALI MAPINDUZI CUP
Simba wamefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya mashindano ya Mapinduzi Cup 2023 baada ya kushinda 3-2 kwenye changamoto za mikwaju ya...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoSINGIDA YAAHIDI USHINDI DHIDI YA SIMBA KESHO.
Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Nizar Khalfan amesema mechi ya kesho dhidi ya Simba haitakuwa rahisi, lakini ana uhakika wa...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoSIMBA YATINGA NUSU FAINALI, KUIVAA SINGIDA FG
Goli pekee la Jean Othos Baleke, lilitosha kuipa Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamhuri na kufanikiwa kutinga hatua ya...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoAPR YAIRUDISHA YANGA DAR
APR ya Rwanda imewaondosha mashindanoni Yanga kwenye michuano ya Mapinduzi Cup baada ya kuwachapa kwa mabao 3-1 na kutinga nusu fainali....
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoMLANDEGE WATANGULIA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP
Timu ya soka ya Mlandege imefanikiwa kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya Mapinduzi Cup baada ya kuwatoa ndugu zao...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoYANGA NDIO TIMU YENYE TAKWIMU BORA MAPINDUZI.
Leo michuano ya kombe la mapinduzi inaendelea kwa michezo miwili ya hatua ya robo fainali, Yanga itashuka dimbani kuikabili APR majira...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoKOCHA APR ALIA NA MECHI NYINGI SIKU CHACHE.
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya pili kati ya klabu ya Yanga na APR ya michuano ya kombe la mapinduzi hapo...
-
Mapinduzi Cup
/ 1 year agoSIMBA YASHINDWA KUTAMBA KWA APR
Simba imelazimishwa suluhu ya 0-0 na APR kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B la michuano ya Mapinduzi Cup. Kama ilivyokuwa...