-
NBC Premier League
/ 1 year agoUWANJA WA ALI HASSAN MWINYI NAO WAFUNGIWA
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora ukutumiwa na timu ya Tabora United kama uwanja wao wa nyumbani umekumbwa na rungu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNYASI ZA HIGHLAND ESTATES KUWAKA MOTO LEO
Wakati Jumanne Elfadhil anaipa Tanzania Prisons alama 3 muhimu mbele ya Dodoma Jiji kwenye uwanja wao wa nyumbani Sokoine, Ihefu walikabwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoBARESI: TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU.
Timu ya Mashujaa FC kutoka mkoani Kigoma haijapata ushindi tangu ilipoifunga Ihefu kwenye mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Septemba...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNAMUNGO YAICHAPA DODOMA JIJI
Namungo wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji kwa Bao la Pius Buswita dakika ya 56 kwenye mchezo...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFIFA YAIRUHUSU SIMBA KUFANYA USAJILI.
Klabu ya Simba inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imefunguliwa kufanya usajili na shirikisho la soka Duniani FIFA na shirikisho la...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNAMUNGO,DODOMA JIJI HUKO RUANGWA HAPATOSHI LEO
Timu za soka za Namungo na Dodoma Jiji leo zitamenyana vikali kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kusaka alama...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTAKWIMU ZA KMC VS MASHUJAA LEO.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja [1] kupigwa katika uwanja wa Uhuru, Jijini Dar Es Salaam. Kinondoni...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKAZADI AFUNGA GOLI LA KWANZA NPL SINGIDA FG.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imeendelea hii leo kwa michezo miwili kuchezwa katika viwanja tofauti nchini. Mkoani Singida katika uwanja wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoCOASTAL UNION YAITANDIKA GEITA GOLD
Coastal Union wameibuka kutoka kwenye kufungwa 2-1 na Singida Big Stars na kupata ushindi wa 3-1 hii Leo dhidi ya Geita...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKAGERA SUGAR YAFANYA SEMINA KWA WACHEZAJI.
Klabu ya Kagera Sugar inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara imefanya semina ya siku mbili kwa viongozi na wachezaji wa klabu hiyo...