-
NBC Premier League
/ 1 year agoNAMUNGO YAINYANYASA IHEFU
Namungo imepata ushindi wake wa kwanza Nyumbani msimu huu wakiifunga Ihefu kwa mabao 2-0 na kupata alama 3 muhimu zilizowasogeza mpaka...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoCOASTAL UNION WAIPIGISHA KWATA TANZANIA PRISONS
Wagosi wa Kaya kutoka Tanga, Coastal Union wamefanikiwa kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao Tanzania Prisons kwenye mchezo wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDUKE ABUYA MCHEZAJI BORA SINGIDA FG.
Klabu ya Singida Fountain Gate ya mkoani Singida inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, Leo imemtangaza kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YAAHIDI KUILIPA KLABU YA TEUNGUETH.
Muda mchache baada ya kutoka taarifa za kufungiwa kufanya usajili na shirikisho la soka Duniani FIFA, kutokana na kutokuilipa klabu ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFIFA YAIFUNGIA SIMBA KUFANYA USAJILI.
Klabu ya soka ya Simba imefungiwa kufanya usajili wa wachezaji na shirikisho la soka Duniani [FIFA] hadi pale itakapoilipa klabu ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIKOKOTOO CHAIPA YANGA UBINGWA 2023/24.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imefika mzunguko wa kumi hivi sasa (10) ikiwa baadhi ya timu zimecheza michezo tisa (9) na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoARAFAT: SKANDA KAONYESHE KILE HERSI AMESHINDWA.
Klabu ya Ihefu kutoka Mbarali mkoani Mbeya inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imemtambulisha rasmi Biko Armando Scanda kuwa afisa mtendaji...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU NBC KUENDELEA LEO
Ligi kuu ya Tanzania Bara inarejea tena leo baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha dirisha la mechi za kimataifa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNDOA YA MINZIRO NA TZ PRISONS YAVUNJIKA.
Tanzania Prisons imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fredi Felix ‘Mizniro’ kufuatia matokeo yasiyoridhisha na sasa Maafande hao watabaki...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA SC KUMKATIA RUFAA AUCHO.
Baada ya Kamati ya Kusimamia na Kuendesha Ligi ya Bodi ya Ligi (TPLB) kutangaza kumfungia kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kwa...