-
NBC Premier League
/ 1 year agoCHAMA: TUSILAUMIANE, TUUNGANE PAMOJA.
Klabu ya Simba imekuwa kwenye mzozo na mgogoro mkubwa baada ya kupokea kichapo cha magoli 5-1 kutoka kwa mtani wake wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA KIBARUANI KUIKABILI NAMUNGO LEO.
Kelvin Sabato mchezaji wa Namungo amesema Simba ni kama mzoga ulioachwa na Yanga nao wataenda kujipigia.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoVIWANJA ZANZIBAR KUTUMIKA LIGI KUU.
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema hakuna kikwazo kwa timu yoyote ya Ligi Kuu kuchagua Uwanja wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA KUKIPIGA LEO MKWAKWANI.
Yanga itakuwa ugenini hii leo kucheza dhidi ya Coastal Union ikiwa kinara wa Ligi hadi hivi sasa na alama zake 21.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA SC YAACHANA NA ROBERTINHO.
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSINGIDA YAWACHAPA MASHUJAA NYUMBANI.
Singida Fountain Gate imeichapa Mashujaa ya Kigoma magoli 1-3 katika uwanja wa Lake Tanganyika hii leo wakati Geita Gold ikitoshana nguvu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoRATIBA YA MICHEZO LIGI KUU LEO.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo miwili kupigwa nchini, Mashujaa vs Singida Fountain Gate, Geita Gold...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDAUDA: SIMBA KUFUNGWA 5 SIO STORI.
Mchambuzi wa soka nchini Shaffih Dauda amesema Simba kufungwa na Yanga sio stori kwasababu Yanga msimu huu imeshinda michezo minne magoli...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFARHAN: HAKUNA GOLI LA KUMLAUMU MANULA.
Hakuna goli la kumlaumu Aishi hata moja pale sijaliona binafsi.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Yanga inaongoza msimamo wa Ligi ikiwa imecheza michezo nane na kushinda michezo saba ikipoteza mchezo mmoja.