-
NBC Premier League
/ 1 year agoWAAMUZI TOKA SUDAN KUCHEZESHA MECHI KUBWA.
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Tanzania Nassor Hamdun ameweka wazi kuwa huwa wanapata tabu sana kuchagua waamuzi wa kuchezesha michezo mikubwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIEMBA ASIMULIA ALIVYOGOMBANA NA MGANGA KIPINDI ANACHEZA.
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Amri Kiemba ameeleza kuwa kipindi anacheza...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMASHUJAA KUANDIKA BARUA KUHUSU USALAMA MDOGO CHAMAZI.
Kwenye mchezo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara jana kati ya Simba dhidi ya mashujaa uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGAMODI AKIRI UGUMU KUCHEZA NA AZAM.
Kocha Gamondi amekiri kuwa wachezaji wake wanapitia kipindi kigumu sana hivi karibuni kutoka na uchovu wa mechi nyingi ndani ya muda...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM FC YAWEKA KIKAO KIZITO KABLA YA MECHI NA YANGA.
Viongozi wa Azam FC walikutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi ikiwa ni siku chache kabla ya mchezo wao dhidi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA KINARA WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inaendelea na imefika mzunguko wa 21 licha ya kuwa baadhi ya timu hazijafikisha michezo 21. Hadi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YABISHA HODI AZAM KUITAKA SAINI YA PRINCE DUBE.
Klabu ya Azam inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imetoa taarifa kwa mashabiki na wadau ikieleza kuwa klabu za Simba na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YABISHA HODI SINGIDA FG WAKIITAKA SAINI YA KIBABAGE.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinaeleza kuwa beki wa kushoto wa klabu hiyo Dickson Kibabage yupo...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA INAPIGA PASI NYINGI ZAIDI YA SIMBA MSIMU HUU.
Klabu ya Yanga kwa kipindi cha hivi karibuni imekuwa ikipiga pasi nyingi zaidi chini ya kocha Miguel Gamond kwenye michezo yote...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJOHN BOCCO AITWA KUOKOA JAHAZI SIMBA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa zimemuagiza mshambuliaji wa klabu hiyo nahodha wake John Raphael...