-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara inataraji kuendelea hii leo kwa michezo mitatu kufanyika katika viwanja vitatu tofauti nchini, hizi ni takwimu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMUDATHIR YAHAYA KUIKOSA KARIAKOO DERBY?
Wachezaji wawili wa Yanga na Azam FC watarajie rungu la Tsh.500,000 (laki tano) na kufungiwa mechi tatu kutoka bodi ya ligi...
-
Azam FC
/ 1 year agoAZIZ KI AWAPAISHA WANANCHI KILELENI
Dabi ya Dar es Salaam inamalizika, Azam wanashindwa kufua dafu mbele ya Yanga kwa mara nyingine tena. Kwa mara ya 4...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIVE: YOUNG AFRICANS vs AZAM FC
Mchezo wa Ligi kuu kati ya Young Africans dhidi ya Azam unaofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
-
Azam FC
/ 1 year agoHIVI NDIVYO WALIVYOINGIA GAMONDI NA DABO LEO
YOUNG AFRICANS MFUMO : 4-2-3-1 WANAOANZA: 1. DJIGUI DIARRA 2. DICKSON JOB 3. JOYCE LOMALISA 4. IBRAHIM BACCA 5. BAKARI MWAMNYETO...
-
Azam FC
/ 1 year agoYANGA YAISHIKA PABAYA AZAM
Mchezo dume kwa siku ya leo. Mchezo wa kimaamuzi kwa timu zote mbili kwenye harakati za kuwania nafasi za juu mapema...
-
Azam FC
/ 1 year agoYANGA NA AZAM VITA KUBWA LEO.
Young Africans imeshinda mara nyingi zaidi ya Azam katika michezo 20 iliyopita.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMAAFANDE WASHINDWA KUTAMBIANA SOKOINE
Mpira ulianza taratibu dakika 15 za mwanzo kila timu ikimmsoma mpinzani wake. Sio prisons wala JKT waliopeleka mashambulizi ya nguvu kwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA LEO.
Tanzania Prison ina wastani mzuri zaidi wa kushinda mbele ya JKT Tanzania. Nani kuibuka mbabe leo sokoine ?.
-
Azam FC
/ 1 year agoAZAM FC KUMKOSA BANGALA JUMATATU.
Ofisa habari wa klabu ya Azam Hashim Ibwe amesema timu yake ipo tayari kupambana na Yanga Jumatatu.