-
NBC Premier League
/ 1 year agoKRAMO AREJEA MAZOEZINI SIMBA, ATAKIWASHA MSIMU UJAO.
Nyota wa klabu ya Simba Aubin Kramo anaendelea kuimarika taratibu na ameanza mazoezi na kikosi cha kwanza akitoka majeruhi na huenda...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM KUTUMIA UWANJA WA MKAPA.
Klabu ya Azam FC imekubaliwa ombi lake la kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kupigwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAREJEA KILELENI KIBABE
Yanga wamefanikiwa kurejea tena kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNYOTA WA ZAMANI SIMBA AWEKA UBORA WA CHAMA NA PACOME.
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Mtemi Ramadhan leo akizungumza na kitu cha...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSINGIDA FG FC YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI
Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuvunja benchi zima la ufundi la klabu hiyo lililokuwa likiongozwa na kocha raia wa Afrika...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoDODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED
Baada ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Azam, Dodoma Jiji wamerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kuwafunga Tabora United...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoCOASTAL UNION YAIKOMALIA AZAM
Azam FC na Coastal Union wamegawana alama 1 kila upande baada ya kutoka sare 1-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YASWEKWA KOROKORONI MORO, MASHUJAA IKIJIPAPATUA
Tanzania Prisons wamefanikiwa kuibuka na alama zote 3 baada ya kuwaduwaza Simba kwa kuwanyuka mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIHEFU YAITAMBIA KMC
Timu ya soka ya Ihefu imefanikiwa kuvuna alama zote 3 na kusogea hadi nafasi ya 7 wakifikisha alama 23 baada ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoFEITOTO: SIPENDI KUSHINDANISHWA AZIZI KI NI MCHEZAJI MZURI.
Nyota wa klabu ya Azam FC, Feisal Salum amekuwa kwenye kiwango bora sana msimu huu akifunga magoli 11 na kutoa pasi...