-
NBC Premier League
/ 1 year agoAMUNIKE: FEISAL ANAWEZA KUCHEZA BARCELONA.
Feisal amekuwa na mwendelezo bora sana kwenye Ligi kuu msimu huu tangu alipojiunga na klabu ya Azam FC, hadi hivi sasa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA KUKIPIGA MECHI ZAKE CCM JAMHURI MOROGORO.
Klabu ya Simba imeuchagua uwanja wa CCM Jamhuri uliopo mkoani Morogoro kwaajili ya michezo yake mitatu ya Ligi kuu kandanda Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMASHUJAA, MTIBWA SUGAR MAMBO SAFI, SINGIDA FG HOI
Mashujaa FC wamefanikiwa kusogea mpaka nafasi ya 12 kutoka nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara bada ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM WAMUENZI DKT. MWANKEMWA KWA USHINDI, GEITA GOLD NA KAGERA SULUHU
Azam FC wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 mbele ya wenyeji wao Singida FG kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoIHEFU YAVUTWA SHATI LITI, PRISONS IKITAKATA MBEYA
Ihefu wameshindwa kutamba kwenye Uwanja wao mpya waliohamia wa CCM Liti uliopo mkoani Singida baada ya kulazimishwa Sare na bao 1-1...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoJKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, MTIBWA AKISOTA MANUNGU
JKT Tanzania walitangulia kupata goli kupitia kwa Najimu Magulu dakika ya 8 ya mchezo akipokea pasi kutoka kwa Sixtus Sabilo aliyefanya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTIMU TATU ZA LIGI KUU NA CHAMPIONSHIP KUBADILI MAJINA.
Kwamujibu wa ripoti mbalimbali zinasema kuwa klabu ya Ihefu yenye maskani yake mkoani Singinda inampango wa kubadilisha jina na kuwa Singida...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIDAO: TUTAFUNGA VAR MBILI KUPUNGUZA MAKOSA YA WAAMUZI.
Katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini Tanzania Wilfred Kidao mapema leo wakati akizungumza na EFM radio ametolea ufafanuzi juu ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM YANG’ANG’ANIWA TABORA, DABO ALIA NA WAAMUZI
Azam FC wameshindwa kufurukuta mbele ya Nyuki wa Tabora baada ya kulazimishwa Suluhu ya 0-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGEITA GOLD HALI TETE, YANYUKWA NA IHEFU
Ihefu wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 mfululizo baada ya kuwafunga Geita Gold 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara...