-
NBC Premier League
/ 1 year agoDODOMA JIJI YAICHAPA IHEFU
Dodoma Jiji wamepata matokeo ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Timu ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIJARIDHISHWA NA SAFU YA USHAMBULIAJI – GAMONDI
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameonyesha kutoridhishwa kwake na safu yake ya ushambuliaji licha kupata ushindi wa mabao 4-1 kwa kukosa...
-
Makala Nyingine
/ 1 year agoWANANCHI WAITAFUNA MIWA YA MTIBWA
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga, leo wamewafumua Mtibwa Sugar kwa mabao 4-1 na kufikisha alama 27 baada ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU KUANZA KUTUMIA V.A.R
Muda sio mrefu Tanzania inaweza kuanza kushughudia matumizi wa technolojia ya Video Assistance Referee (VAR) kwenye ligi kuu ya soka Tanzania...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoBENCHIKHA AANZA NA USHINDI LIGI YA NBC.
Kocha mpya wa Simba, Abdelhak Benchikha leo amepata ushindi wa kwanza tangu atue Msimbazi baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda 3-0,...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoBUNDI ATANDA AZAM FC.
Makipa wa Azam FC, Ali Ahmada na Idrisu Abdulah wapo Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa majeraha yanayo wasumbua....
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKISA BALL KID FIKIRINI “OUT” MECHI TATU.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) amemtoza faini ya Sh1 milioni na kufungiwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoGAMONDI: TIMU INACHEZA VIZURI BILA MAWINGA.
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga akizungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar amewajibu wale wote waliokuwa wakihoji kwanini...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKAKOLANYA KIFUNGONI MECHI TATU ZA NBC.
Kipa wa Singida Fountain Gate Beno Kakolanya ametozwa faini ya shilingi milioni Moja na kufungiwa michezo 3 na bodi ya ligi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKARATA YA KWANZA KWA BENCHIKHA NBC.
Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha baada ya kutoka Ligi ya Mabingwa, leo atakuwa na mtihani mwingine kwenye Ligi Kuu ya...