-
NBC Premier League
/ 1 year agoGEITA GOLD HALI TETE, YANYUKWA NA IHEFU
Ihefu wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 mfululizo baada ya kuwafunga Geita Gold 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoWAPINZANI WA YANGA, CR BELOUIZDAD KUWASILI NCHINI JUMATANO.
Klabu ya Yanga imetangaza kucheza michezo yake yote iliyopangwa kwenye ratiba bila kuomba kusogezwa mbele kwa kigezo cha michezo ya kimataifa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTABORA UNITED YAAHIDI ALAMA TATU KWA AZAM LEO.
Klabu ya Azam fc inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuikabili klabu ya Tabora United kwenye mwendelezo wa michezo ya Ligi kuu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAITANDIKA KMC, YAJIKITA KILELENI
Yanga wamezidi kujikita kileleni kibabe baada ya kuwanyuka KMC mabao 3-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye dimba...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoSIMBA KUFUZU ROBO FAINALI CAF CL NI MAAMUZI YAO.
Klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast imechagua kuutumia uwanja wa Felix Houphouet Boigny kwaajili ya mchezo wao wa hatua...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoYANGA INA WAKATI MGUMU KUFUZU ROBO FAINALI CAF CL.
Baada ya Al ahly na CR Belouizdad kutoka suluhu ya bila kufungana inaiwafanya Al Ahly waongoze kundi kwa alama sita huku...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoAZAM YASHINDA, KAGERA YABANWA
Azam FC wameibuka na ushindi muhimu kwenye mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mabao 2-1 dhidi ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA YAUZINDUA MEJA JEN. ISAMUHYO KWA USHINDI
Simba wamezidi kuwasogelea vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga kwa kufikisha alama 36, alama 4 nyuma ya vinara hao...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIMBA INA WASTANI WA KURUHUSU GOLI KILA MECHI.
Klabu ya Simba leo itashuka dimbani ugenini kwenye mwendelezo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara kuikabili klabu ya JKT Tanzania kwenye...
-
Timu za Taifa za Wanawake za Tanzania
/ 1 year agoTWIGA STARS INAJIWINDA NA AFRIKA KUSINI KUFUZU OLYMPIC.
Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania “Twiga Stars” ipo kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu michuano ya Olympic inayotarajiwa kufanyika...