-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS AAHIDI KUKATA RUFAA.
Kwa mujibu wa Taarifa zinasema kuwa kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche anajipanga kukata rufaa...
-
AFCON
/ 1 year agoSONG: CAMEROON YA SASA SIO ILE YA ZAMANI.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song ameweka wazi kuwa kwasada Cameroon ipo kwenye ujenzi na...
-
AFCON
/ 1 year agoKUDUS AMEIONGEZEA THAMANI AFCON 2023.
Mashindano ya AFCON 2023 yanaendelea kushika kasi nchini Ivory Coast ikiwa kwasasa iko kwenye mzunguko wa pili wa hatua ya makundi...
-
AFCON
/ 1 year agoMSUVA: MECHI ZINAZOFUATA ZA AFCON SIO RAHISI.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Simon Msuva ameweka wazi kuwa michezo miwili iliyobaki dhidi ya Zambia na...
-
AFCON
/ 1 year agoMASHABIKI WALITAKA SHIRIKISHO KUMPA TIMU MGUNDA.
Shirikisho la soka nchi Tanzania TFF limemteua aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Suleiman “Morocco” kuwa kaimu...
-
AFCON
/ 1 year agoMO SALAH KUZIKOSA MECHI ZIJAZO.
Shirikisho la soka nchini Misri limesema kuwa baada ya kumfanyia uchunguzi nyota wa klabu ya Liverpool na Captain wa timu hiyo...
-
AFCON
/ 1 year agoKOCHA STARS AFUNGIWA MECHI NANE.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars Adel Amrouche amefungiwa na shirikisho la soka Barani Afrika...
-
AFCON
/ 1 year agoKUDUS ATAJWA KUVAA VIATU VYA JAY JAY OKOCHA.
Kocha wa zamani wa Mohamed Kudus Jeremy sweethal amesema nyota huyo atakuwa mchezaji bora wa kiafrika Duniani kutokana na uwezo mkubwa...
-
AFCON
/ 1 year agoSERIKALI YAINGILIA KATI MATOKEO NIGERIA.
Baada ya kupata sare katika mchezo wa kwanza wa fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Equatorial Guinea maafisa kadhaa wa...
-
AFCON
/ 1 year agoTAIFA STARS YAANZA VIBAYA AFCON 2023
Timu ya taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya michuano ya AFCON 2023 kwa kukubali kipigo cha mabao 3-0...