-
Ligi Nyingine
/ 1 year agoKISA MESSI,TIKETI ZAISHA NDANI YA SAA MOJA.
Tiketi za mechi ya kirafiki ya Inter Miami mjini Hong Kong zimeuzwa na kuisha ndani ya dakika 60 sawa na saa...
-
EPL
/ 1 year agoTEN HAG USO KWA USO NA JIM RATCLIFFE.
Kocha wa Manchester United Erik ten Hag anaripotiwa kuwa tayari kufanya mkutano muhimu na mwekezaji anayekuja Sir Jim Ratcliffe pamoja na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKAKOLANYA KIFUNGONI MECHI TATU ZA NBC.
Kipa wa Singida Fountain Gate Beno Kakolanya ametozwa faini ya shilingi milioni Moja na kufungiwa michezo 3 na bodi ya ligi...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKARATA YA KWANZA KWA BENCHIKHA NBC.
Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha baada ya kutoka Ligi ya Mabingwa, leo atakuwa na mtihani mwingine kwenye Ligi Kuu ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA YAKWAA KISIKI RUFAA YA AUCHO.
Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imejadili maombi ya marejeo (review) ya klabu ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSIIFAHAMU SANA KAGERA ILA TUMEJIANDAA KUSHINDA – BENCHIKHA
Makocha wa timu za Simba SC na Kagera Sugar wamezungumza na waandishi wa Habari hii leo kuelekea mchezo wao wa kesho...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNDOA YA KITAMBI NA NAMUNGO YAVUNJIKA RASMI.
Wauwaji wa Kusini Klabu ya Namungo Fc yenye makazi yake Ruangwa mkaoni Lindi, leo Desemba 13,2023 imethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA SC YAMALIZANA NA GAEL BIGIRIMANA.
Shirikisho la kimaitafa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa...
-
Serengeti Lite Women Premier League
/ 1 year agoBADO HATUJAKAA SAWA – MGOSI
Kocha wa timu ya soka ya Simba Queens, Mussa Hassan “Mgosi” amesema kuwa licha ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ngao...
-
Serengeti Lite Women Premier League
/ 1 year agoYANGA PRINCESS MSHINDI WA TATU NGAO YA JAMII.
Klabu ya soka ya wanawake ya Yanga Princess imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu ya michuano ya ngao ya jamii iliyokuwa...