-
CAF Champions League
/ 1 year agoKAMWE: MECHI YETU NA MEDEAMA SIO NYEPESI.
Klabu ya Young Africans imeanza safari leo alfajiri kuelekea nchini Ghana kwaajili ya mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoYANGA KUNG’OA MSHAMBULIAJI CAMEROON.
Klabu ya Yanga imefanya mazungumzo ya awali na wawakilishi wa mshambuliaji wa Dynamo Doula, Leonel Ateba Mbida (24)ya kuihitaji saini yake...
-
PBZ Premier League
/ 1 year agoDJUMA IRAMBONA AFUTWA KAZI KMKM.
Klabu ya KMKM ya visiwani Zanzibar imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Masoud Djuma Irambona baada ya kudumu klabuni hapo kwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoTANZANIA PRISONS WAING’ANG’ANIA IHEFU MBARALI
Ihefu na Tanzania Prisons wametoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya 0-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara mchezo uliopigwa kwenye...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoMJUE MMILIKI WA MEDEAMA, WAPINZANI WA YANGA.
Moses Armah “Parker” ni mfanyabiashara, na Rais wa klabu ya Medeama ya nchini Ghana ambayo inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoUWANJA WA ALI HASSAN MWINYI NAO WAFUNGIWA
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora ukutumiwa na timu ya Tabora United kama uwanja wao wa nyumbani umekumbwa na rungu...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNYASI ZA HIGHLAND ESTATES KUWAKA MOTO LEO
Wakati Jumanne Elfadhil anaipa Tanzania Prisons alama 3 muhimu mbele ya Dodoma Jiji kwenye uwanja wao wa nyumbani Sokoine, Ihefu walikabwa...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoHATUENDI KICHWA KICHWA – AHMED ALLY.
Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema timu hiyo inarejea kambini leo Desemba 4 kuanza maandalizi ya mchezo unaofuata...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoBARESI: TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU.
Timu ya Mashujaa FC kutoka mkoani Kigoma haijapata ushindi tangu ilipoifunga Ihefu kwenye mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Septemba...
-
Timu za Taifa za Wanawake za Tanzania
/ 1 year agoTWIGA STARS YAWASILI TOGO.
Timu ya Wanawake ya Tanzania “Twiga Stars” imewasili nchini Togo kwaajili ya mchezo wa marejeano wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali...