-
NBC Premier League
/ 1 year agoKIKOKOTOO CHAIPA YANGA UBINGWA 2023/24.
Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imefika mzunguko wa kumi hivi sasa (10) ikiwa baadhi ya timu zimecheza michezo tisa (9) na...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoARAFAT: SKANDA KAONYESHE KILE HERSI AMESHINDWA.
Klabu ya Ihefu kutoka Mbarali mkoani Mbeya inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imemtambulisha rasmi Biko Armando Scanda kuwa afisa mtendaji...
-
Azam FC
/ 1 year agoBAJANA: SIKUTARAJIA AMRABAT KUOMBA JEZI.
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania [Taifa Stars] na klabu ya Azam FC, Sospeter Bajana amesema kitendo cha kufuatwa na...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoYANGA YAACHIA JEZI MPYA ZA CAF CL 2023/24.
Klabu ya Young Africans leo imeachia jezi zake mpya itakazozitumia katika mashindano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika msimu huu wa...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoRATIBA YA MICHEZO YA SIMBA CAF CL 2023/24.
Klabu ya Simba msimu huu imepangwa kundi B la Ligi ya mabingwa Barani Afrika ikiwa pamoja na klabu za Wydad Athletic...
-
FIFA World Cup
/ 1 year agoNOVATUS AOMBA MSAMAHA KWA MASHABIKI.
Nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Shakhtar Donetsk, Novatus Dismas Miroshi amewaomba radhi mashabiki na wapenzi wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU NBC KUENDELEA LEO
Ligi kuu ya Tanzania Bara inarejea tena leo baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha dirisha la mechi za kimataifa...
-
EPL
/ 1 year agoNKUNKU, LAVIA TAYARI KURUDI UWANJANI.
Christopher Nkunku na Romeo Lavia kila mmoja anakaribia kucheza kwa mara ya kwanza Chelsea baada ya kufanya mazoezi kujiandaa na mtanange...
-
EPL
/ 1 year agoVARANE ANATAKIWA BAYERN MUNICH.
Raphael Varane anahusishwa na kuhamia Bayern Munich Januari na anaweza kumfuata Harry Kane katika Ligi Kuu nchini Ujerumani (Bundesliga). Beki wa...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoNDOA YA MINZIRO NA TZ PRISONS YAVUNJIKA.
Tanzania Prisons imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fredi Felix ‘Mizniro’ kufuatia matokeo yasiyoridhisha na sasa Maafande hao watabaki...