-
NBC Championship
/ 1 year agoAUCHO APIGWA RUNGU, TFF KUKUSANYA MILLION 16.
Bodi ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara imemtia hatiani kiungo wa klabu ya Young Africans Khalid Aucho kutokana na kumfanyia madhambi...
-
EPL
/ 1 year agoEVERTON YAPIGWA RUNGU, YAKATWA ALAMA 10.
Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi kuu soka nchini England imekatwa alama kumi (10) baada ya kuvunja sheria ya matumizi ya pesa...
-
Timu za Taifa za Wanawake za Tanzania
/ 1 year agoTANZANITE KUIKABILI NIGERIA JUMAPILI.
Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ ipo nchini Nigeria kwaajili ya mchezo wa marejeano wa...
-
NBC Championship
/ 1 year agoMBUNI FC KUTUPA KARATA YAKE YA 11 HII LEO .
Klabu ya soka ya Mbuni Fc hii leo saa 10:00 Jioni itakuwa uwanjani kutupa karata yake ya 11 katika mwendelezo wa...
-
AFCON
/ 1 year agoFRANK: TIMU ZINGINE ZINAIOGOPA NIGERIA AFCON 2023.
Kiungo wa timu ya Taifa ya Nigeria na klabu ya Brentford Frank Onyeka anaamini nchi zingine zinaihofia Nigeria kutokana na mkusanyiko...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoVIINGILIO VYAWEKWA WAZI SIMBA VS ASEC.
Meneja habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kikosi chao kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa kwanza wa...
-
EPL
/ 1 year agoMABADILIKO UNITED KUANZA NA ARNOLD.
Mtendaji mkuu wa Manchester United Richard Arnold anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo ifikapo mwisho wa mwaka huu. Arnold ataondoka baada ya...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoWACHEZAJI HAWAJAGOMEA MAZOEZI TABORA.
Taarifa za awali kutoka katika viunga vya klabu ya Tabora United inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara zilikuwa zinadai kuwa, Wachezaji...
-
CAF Champions League
/ 1 year agoAL HILAL KUTUMIA UWANJA WA MKAPA CAFCL.
Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan imewasili nchini Tanzania juzi usiku kwaajili ya maandalizi kuelekea michezo yao Ligi ya Mabingwa Afrika...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoSINGIDA FOUNTAIN GATE YAFUNGIWA USAJILI.
Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Singida ni kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu hiyo kusajili. Nyundo hiyo ya FIFA...