-
Bundesliga
/ 1 year agoALONSO TATIZO LINGINE KUTOKA HISPANIA.
Bayer Leverkusen inaongoza Ligi kuu nchini Ujerumani na alama 25 hadi hivi sasa ikiwa imecheza michezo tisa (9) ya Ligi hiyo.
-
Arsenal
/ 1 year agoSMITH ROWE, G.JESUS KUIKOSA NEWCASTLE.
The Gunners wanajiandaa kumenyana na Newcastle siku ya Jumamosi bila wachezaji wao wawili muhimu. Jesus amekuwa hayupo tangu afunge goli dhidi...
-
African Football League
/ 1 year agoFAINALI AFL KUPIGWA JUMAPILI NOVEMBER 5.
Hii ni fainali ya kihistoria Jumapili hii kati ya wababe Wydad Athletic Club na Mamelod Sundowns.
-
EPL
/ 1 year agoMWAMUZI WA KWANZA WA KIKE, EPL.
Rebecca Welch ataweka historia siku ya Jumamosi kwa kuwa atakuwa mwamuzi wa kwanza wa kike kuhusika katika mechi ya Ligi Kuu....
-
Chelsea
/ 1 year agoTHIAGO SILVA: MIMI NI KOCHA TAYARI.
Beki wa Chelsea Thiago Silva yuko kwenye mipango ya kuwa kocha mkuu atakapomaliza maisha yake ya soka. Akiwa na umri wa...
-
EPL
/ 1 year agoTONEY, MEHEDI TAREMI NA OSIMHEN KUMSAIDIA HOJLUND UNITED.
Msaada kwa Rasmus Hojlund! Man Utd wanataka mshambuliaji mpya mwezi Januari kusaidia usajili wa pauni milioni 72 na kubainisha walengwa watatu....
-
NBC Premier League
/ 1 year agoLIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA LEO.
Takwimu za michezo mitatu (3) ya mzunguko wa tisa (9) wa Ligi kuu kandanda tanzania Bara zinazopigwa hii leo November 3.
-
NBC Premier League
/ 1 year agoMAANDALIZI YAKO VIZURI DERBY YA KARIAKOO.
Afisa habari wa bodi ya Ligi Tanzania Karim Boimanda amesema maandalizi kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo yanaendelea vyema
-
EPL
/ 1 year agoKULUSEVSKI: SOKA LA VIJANA NDIO MPANGO MZIMA
Winga wa Tottenham, Dejan Kulusevski ameeleza jinsi soka la ngazi ya chini linavyosaidia katika kuzalisha nyota wajao wa mchezo huo, huku...
-
NBC Premier League
/ 1 year agoKMC IPO TAYARI KUIACHIA AZAM KOCHA MOALLIN.
Klabu ya KMC imesema haitakuwa na kizuizi chochote kama Azam ikimhitaji kocha wao Abdi Hamid Moallin.